- Kariakoo Dabi yanukia NBC Premier League 2025/26
- Yanga SC vs Simba SC Uwanja wa New Amaan Complex Machi Mosi 2026
- Makala haya yanakuletea matokeo ya wababe hawa wawili CAF Champions League hatua ya makundi
Yanga SC vs Simba SC Uwanja wa New Amaan Complex ikiwa ni Kariakoo Dabi 2025/26. Wababe hawa wawili wametoka kucheza CAF Champions League. Kila timu imeishia hatua ya makundi. Machi Mosi 2026 watakutana NBC Premier League.
SOMA HII: Jonathan Sowah na Allasane Kante kuikosa Yanga SC vs Simba SC/ TPLB yatuma ujumbe
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi
Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi.

Yanga SC vs Simba SC Uwanja wa New Amaan Complex, matokeo yao CAF yapoje?

Yanga SC vs Simba SC Uwanja wa New Amaan Complex kwenye CAF Champions League zilikuwa na matokeo tofauti. Yanga SC ilipata ushindi mechi mbili nyumbani. Mnyama alipata ushindi mchezo mmoja kati ya mitatu.
Taarifa rasmi kutoka Bodi ya Ligi imeeleza kuwa watani hawa watakutana Zanzibar, Uwanja wa New Amaan Complex. Utakuwa mchezo namba 54 saa 2:15 usiku.
SOMA HII: Yanga SC 1-0 Simba SC: Highlights, magoli yote, h2h – Ngao ya jamii 2025

Matokeo ya Yanga SC CAF 2025/26
22/11/2025 Yanga SC 1 0 AS Far Rabat
28/11/2025 JS Kabylie 0 0 Yanga SC
23/01/2026 Al Ahly 2 0 Yanga SC
31/01/2026 Yanga SC 1 1 Al Ahly
07/02/2026 AS Far Rabat 1 0 Yanga SC
15/02/2026 Yanga SC 3 0 JS Kabylie
Msimamo wa kundi B
| MP | W | D | L | PTS | |
| 1. Al Ahly | 6 | 2 | 4 | 0 | 10 |
| 2. AS Far | 6 | 2 | 3 | 1 | 9 |
| 3. Yanga SC | 6 | 2 | 2 | 2 | 8 |
| 4.Kabylie | 6 | 0 | 3 | 3 | 3 |
Matokeo ya Simba SC Caf Champions League

| 23/11/2025 | Simba SC | 0 | 1 | Petro de Luanda |
| 30/11/2025 | Stade de Malien | 2 | 1 | Simba SC |
| 24/01/2026 | Es Tunis | 1 | 0 | Simba SC |
| 01/02/2026 | Simba SC | 2 | 2 | Esperance de Tunis |
| 7/2/2026 | Petro de Luanda | 1 | 1 | Simba SC |
| 14/2/2026 | Simba SC | 1 | 0 | Stade Malien |
Msimamo wa kundi D
| MP | W | D | L | PTS | |
| 1. Stade Malien | 6 | 3 | 2 | 1 | 11 |
| 2. Esperance de Tunis | 6 | 2 | 3 | 1 | 9 |
| 3. Petro de Luanda | 6 | 1 | 3 | 2 | 6 |
| 4.Simba SC | 6 | 1 | 2 | 3 | 5 |
Hitimisho
Yanga SC vs Simba SC Uwanja wa New Amaan Complex Kariakoo Dabi 2025/26. Hii ni mara ya kwanza watani kukutana ndani ya ligi msimu huu. Ikumbukwa kwamba waliifunga Simba SC nje ndani msimu uliopita wa 2024/25. Je rekodi hiyo itajirudia? Dakika 90 zitaamu.

