Takwimu za Esperance Tunis 1-0 Simba SC CAF Champions LeagueNangu vs Tunis
  • Jack Diarra mfungaji wa goli pekee la ushindi mchezo wa hatua ya makundi
  • Esperance Tunis 1-0 Simba SC CAF Champions Leagues/ Highlights, stats, stands
  • Clatous Chama mchezo wake wa kwanza Simba SC ameanzia benchi

Esperance Tunis 1-0 Simba SC CAF Champions League ni matokeo rasmi mchezo wa kundi D. Jack Diarra alifunga goli pekee la ushindi dakika ya 21. Matokeo hayo yanawafanya wenyeji kuogoza kundi D kwenye msimamo baada ya kuvuna pointi tatu muhimu.

SOMA HII: Matokeo ya Simba SC 2025/26 | Ratiba, vinara wa ufungaji

Je, bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Ni zamu yako sasa, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image

Esperance Tunis 1-0 Simba SC CAF Champions League

Esperance Tunis 1-0 Simba SC CAF C
Simba SC vs Tunis, CAF Champions League. Source: Simba SC.

Jack Diarra ni mchezaji pekee aliyefunga goli hatua ya makundi na kufanya ubao kusoma Esperance Tunis 1-0 Simba SC CAF Champions League. Januari 24 2026 ilikuwa ni furaha kwa mashabaki wa timu hiyo na huzuni kwa mnyama. Ndani ya msimu wa 2025/26 wekundu wa Msimbazi hawajapata matokeo kwenye mechi tatu mfululizo.

Takwimu za Esperance Tunis 1-0 Simba SC CAF Champions League

Esperance Tunis Simba SC
6Mashuti5
1Kipa okoa3
47%Umiliki53%
13Faulo23
0Kadi nyekundu0
0Kadi za njano2
4Kona1
4Lenga lango1
De Ruck vs Tunis
Simba SC vs Tunis CAF Champions League. Source: Simba SC.

SOMA HII: Clatous Chama kumalizana na Simba SC sababu zatajwa/ Awesu katambulishwa Police FC Kenya

image

Msimamo wa kundi D

 MPWDLPTS
1. Esperance de Tunis31205
2. Petro de Luanda21104
3. Stade Malien21104
4.Simba SC30030

Mechi tatu ambazo ni dakika 270 Simba SC CAF Champions League haijapata ushindi ikipoteza mechi tatu hatua ya makundi. Chini ya Kocha Mkuu, Steve Barker ilianza na mshambuliaji Jonathan Sowah ugenini. Kiungo Clatous Chama alianzia benchi kwenye mchezo wake wa kwanza mara baada ya kurejea unyamani.

Share this: