- Africa Cup of Nations group stages 2025/2026, Morocco
- AFCON 2025 hatua ya makundi matokeo na ratiba ipo namna hii
- Morocco vs Mali wagawana pointi, Misri yatinga 16 bora kwa goli la Mo Salah
Kazi inaendelea AFCON 2025 hatua ya makundi matokeo na ratiba zipo wazi. Mo Salah alikiongoza kikosi cha Misri kutinga hatua ya 16 bora. Ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Afrika Kusini umewapa tiketi Misri kufungua ukurasa unaofuata. Desemba 27 Uganda vs Tanzania ni mchezo unaotarajiwa kuwa kwenye ratiba.
SOMA HII: AFCON 2025 Morocco 1-1 Mali/ Highlights, goal, standings
Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

AFCON 2025 hatua ya makundi matokeo na ratiba ipo hivi

Hakuna kulala AFCON 2025 hatua ya makundi matokeo na ratiba zinazidi kupasua anga. Ikumbukwe kwamba ni timu 24 zinasaka tiketi ya kutinga 16 bora. Wenyeji Morocco waligawaa pointi na Mali katika mchezo wa pili wakiwa kundi A.
Matokeo Ijumaa, Desemba 26,2025
Zambia 0-0 Comoros
Morocco 1-1 Mali
Angola 1-1 Zimbabwe
Misri 1-0 Afrika Kusini
Jumapili, Desemba 21, 2025
Morocco 2-0 Comoros
Jumatatu, Desemba 22,2025
Mali 1-1 Zambia
Afrika Kusini 2-1 Angola
Misri 2-1 Zimbabwe
Jumanne, Desemba 23, 2025

Congo Dr 1-0 Benin
Senegal 3-0 Botswana
Nigeria 2-1 Tanzania
Tunisia 3-1 Uganda
SOMA HII: AFCON 2025 matokeo na ratiba hii hapa/ Msimamo, live scores

Desemba 24,2025, Jumatano
Burkina Faso 2-1 Equatorial Guinea
Algeria 3-0 Sudan
Ivory Coast 1-0 Msumbiji
Cameroon 1-0 Gabon
Msimamo
Kundi A
| MP | W | D | L | PTS | |
| 1.Morocco | 2 | 1 | 1 | 0 | 4 |
| 2. Mali | 2 | 0 | 2 | 0 | 2 |
| 3. Zambia | 2 | 0 | 2 | 0 | 2 |
| 4.Comoros | 2 | 0 | 1 | 1 | 1 |
Kundi B
| MP | W | D | L | PTS | |
| 1.Misri | 2 | 2 | 0 | 0 | 6 |
| 2. A.Kusini | 2 | 1 | 0 | 1 | 3 |
| 3.Zimbabwe | 2 | 0 | 1 | 1 | 1 |
| 4.Angola | 2 | 0 | 1 | 1 | 1 |
Kundi C
| MP | W | D | L | PTS | |
| 1. Tunisia | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 |
| 2. Nigeria | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 |
| 3.Tanzania | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 |
| 4.Uganda | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 |
Kundi D
| MP | W | D | L | PTS | |
| 1. Senegal | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 |
| 2.Dr.Congo | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 |
| 3.Benin | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 |
| 4.Botswana | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 |
Kundi E
| MP | W | D | L | PTS | |
| 1. Algeria | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 |
| 2.B. Faso | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 |
| 3.Eq.Guinea | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 |
| 4.Sudan | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 |
Kundi F
| MP | W | D | L | PTS | |
| 1.Cameroon | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 |
| 2.I.Coast | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 |
| 3.Gabon | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 |
| 4.Mozambique | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 |
Ratiba ya AFCON 2025

Jumamosi, Desemba 27,2025
Benin vs Botswana, saa 9:30 alasiri
Senegal vs Congo Dr, saa 12:00 jioni
Uganda vs Tanzania, saa 2:30 usiku
Nigeria vs Tunisia, saa 5:00 usiku.
Jumapili, Desemba 28, 2025
Gabon vs Msumbiji, saa 9:30 alasiri
Equatorial Guinea vs Sudan, saa 12:00 usiku
Algeria vs Burkina Faso, saa 2:30 usiku
Ivory Coast vs Cameroon, saa 5:00 usiku.
Desemba 29, Jumatatu
Angola vs Misri
Zimbabwe vs Afrika Kusini
Comoros vs Mali
Zambia vs Morocco
Jumanne, Desemba 30
Tanzania vs Tunisia
Uganda vs Nigeria
Benin vs Senegal
Botswana vs DR Congo
Jumatano, Desemba 31
Equatorial Guinea vs Algeria
Sudan vs Burkina Faso
Gabon vs Ivory Coast
Msumbiji vs Cameroon
SOMA HII: AFCON 2025 Misri 1-0 Afrika Kusini hatua ya makundi/ Highlights, standings

Hitimisho
AFCON 2025 hatua ya makundi matokeo na ratiba zinaendelea kuchanja mbunga nchini Morocco. Timu ya kwanza kukata tiketi raundi ya 16 ni Misri kwa ushindi dhidi ya Afrika Kusini. Kila timu inaonyesha ushindani kwenye mechi jambo linaloongeza mvuto.

