AFCON 2025 matokeo na ratibaAFCON ----
  • Africa Cup of Nations 2025 Group Stage Morocco, Mo Salah karata ya kwanza ushindi.
  • AFCON 2025 matokeo na ratiba tumekusogezea hapa, isome na utazame kilichotokea
  • Nigeria 2-1 Tanzania mchezo wa kundi C uliokuwa na ushindani mkubwa, Morocco 2-0 Comoros wenyeji walifungua pazia.

AFCON 2025 matokeo na ratiba kutoka kwenye mashindano makubwa tumekusogezea hapa. Ikumbukwe kwamba kuna timu 24 nchini Morocco hatua ya makundi. Desemba 21, 2025 yalianza kutimua vumbi. Januari 2026 yanatarajiwa kufika tamati.

SOMA HII: Nigeria 2-1 Tanzania AFCON 2025/ Highligts, goal

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image

AFCON 2025 matokeo na ratiba ipo namna hii

Ni mwendo wa kusaka ushindi katika AFCON 2025 matokeo na ratiba yamekuwa na maajabu mengi. Zipo timu ambazo zilipewa nafasi kubwa ya kupata ushindi mwisho zikapoteza. Kuna timu ambazo hazijakusanya pointi baada ya kupoteza ni sehemu ya matokeo.

Jumapili, Desemba 21, 2025

AFCON 2025 matokeo na ratiba
Wenyeji wa AFCON 2025 Morocco walianza kwa ushindi.

Morocco 2-0 Comoros ilichezwa saa 4:00 usiku

Jumatatu, Desemba 22,2025

Mali 1-1 Zambia, ilichezwa saa 11:00 jioni
Afrika Kusini 2-1 Angola ilichezwa saa 2:00 usiku
Misri 2-1 Zimbabwe, ilichezwa saa 5:00 usiku

Jumanne, Desemba 23, 2025

Congo Dr 1-0 Benin, ilichezwa saa 9:30 alasiri
Senegal 3-0 Botswana, ilichezwa saa 12:00 jioni
Nigeria 2-1 Tanzania, ilichezwa saa 2:30 usiku
Tunisia 3-1 Uganda, ilichezwa saa 5:00 usiku.

SOMA HII: AFCON 2025 Morocco 2-0 Comoros/ Highlights, goals, fixtures

image

Desemba 24,2025, Jumatano

Burkina Faso 2-1 Equatorial Guinea, ilichezwa saa 9:30 alasiri
Algeria 3-0 Sudan, ilichezwa saa 12:00 jioni
Ivory Coast 1-0 Msumbiji, ilichezwa saa 2:30 usiku
Cameroon 1-0 Gabon, ilichezwa saa 5:00 usiku

Msimamo AFCON 2025

Kundi A

 MPWDLPTS
1.Morocco11003
2. Mali10101
3. Zambia10101
4.Comoros10010

Kundi B

 MPWDLPTS
1.A.Kusini11003
2. Misri11003
3.Zimbabwe10010
4.Angola10010
image

Kundi C

 MPWDLPTS
1. Tunisia11003
2.  Nigeria11003
3.Tanzania10010
4.Uganda10010
Nigeria 2-1 Tanzania AFCON 2025
Timu ya Tanzania, AFCON 2025 ipo kundi C. Source: Taifa Stars.

SOMA HII: Afcon 2025: Hawa hapa wachezaji 10 wanaolipwa pesa nyingi

Kundi D

 MPWDLPTS
1. Senegal11003
2.Dr.Congo11003
3.Benin10010
4.Botswana10010

Kundi E

 MPWDLPTS
1. Algeria11003
2.B. Faso11003
3.Eq.Guinea10010
4.Sudan10010

Kundi F

 MPWDLPTS
1.Cameroon11003
2.I.Coast11003
3.Gabon10010
4.Mozambique10010

Mechi zijazo

Ijumaa, Desemba 26,2025

Angola vs Zimbabwe saa 9:30 alasiri
Misri vs Afrika Kusini, saa 12:00 jioni
Zambia vs Comoros, saa 2:30 usiku
Morocco vs Mali, saa 5:00 usiku

Jumamosi, Desemba 27,2025

Benin vs Botswana, saa 9:30 alasiri
Senegal vs Congo Dr, saa 12:00 jioni
Uganda vs Tanzania, saa 2:30 usiku
Nigeria vs Tunisia, saa 5:00 usiku.

Jumapili, Desemba 28, 2025

Gabon vs Msumbiji, saa 9:30 alasiri
Equatorial Guinea vs Sudan, saa 12:00 usiku
Algeria vs Burkina Faso, saa 2:30 usiku
Ivory Coast vs Cameroon, saa 5:00 usiku.

Desemba 29, Jumatatu

Angola vs Misri
Zimbabwe vs Afrika Kusini
Comoros vs Mali
Zambia vs Morocco

SOMA HII: Hawa hapa wachezaji 5 wa kuchungwa AFCON 2025 Morocco

image

Jumanne, Desemba 30

Tanzania vs Tunisia
Uganda vs Nigeria
Benin vs Senegal
Botswana vs DR Congo

Jumatano, Desemba 31

Equatorial Guinea vs Algeria
Sudan vs Burkina Faso
Gabon vs Ivory Coast
Msumbiji vs Cameroon

Hitimisho

AFCON 2025 matokeo na ratiba kwa sasa ni wazi katika mashindano haya makubwa. Timu kutoka Afrika Mashariki katika mechi za mwanzo zilipoteza. Tanzania na Uganda ambazo zipo kundi C. Wababe hawa wawili wanatarajiwa kukutana mchezo ujao, Desemba 27.

Share this: