- Nyota 7 wa Yanga SC kuukosa mchezo ugenini hatua ya makundi yupo Clement Mzize na Sure Boy
- Yanga inapanga kuwachafua JS Kabylie kwenye CAF Champions League mnamo Novemba 28, 2025.
- Live score na utabiri wa mchezo huo mkali upo kwenye makala haya
Je watatoboa wanajangwani? Yanga inapanga kuwachafua JS Kabylie kwenye CAF Champions League mnamo Novemba 28, 2025. JSaa 1:00 usiku mchezo wa pili hatua ya makundi kwa kundi B. Wababe hawa watakuwa Uwanja wa Hocine Ait Ahmed. Wageni Yanga SC watawakosa wachezaji muhimu ikiwemo Clement Mzize ambaye ni mshambuliaji.
SOMA HII: Ratiba ya Yanga SC 2025/26 NBC Premier League, CAF Champions League/ Live scores
Muda wa kuvuna mamilioni sasa hivi
Kuna jambo umekwama kwa sasa kuhusu mkwanja? Usiogope, rubani ni jasiri na kazi yake ni kupaisha kindege cha SportPesa. Cheza sasa hivi Aviator uvune mamilioni bofya hapa chini, muda ni wako na nafasi ya ushindi inakusubiri.

Yanga inapanga kuwachafua JS Kabylie kwenye CAF Champions League mnamo Novemba 28, 2025, wataweza?

Kuna orodha ya nyota watakosekana mchezo wa JS Kabylie vs Yanga SC CAF Champions League leo Novemba 28,2025. Wageni Yanga SC watakuwa na orodha ya wachezaji 7 ambao hawapo kwenye mpango. Hiyo inatokana na sababu mbalimbali. Kibwana Shomari, Dennis Nkane, Sure Boy, Abdulnasir maarufu kama Casemiro, Clement Mzize huyu ni mshambuliaji.
Farid Mussa, Nizar Othman Abubakar wanatarajiwa kukosekana kwenye mchezo. Mzize yeye amefanyiwa upasuaji wa goti jambo linalomuweka nje. Wengine ni sababu za kifundi.
SOMA HII PIA: Yanga SC vs AS FAR CAF 22/11/2025: Live Score, H2H, vikosi, takwimu, Habari za timu

H2H
JS Kabylie vs Yanga SC, Novemba 28,2025.
Yanga SC vs JS Kabylie, Februari 13,2026.
JS Kabylie vs Yanga SC nyumbani na ugenini rekodi

| JS Kabylie | Yanga SC | |
| 8 | Mechi za nyumbani | |
| 7 | Ushindi nyumbani | |
| Mechi za ugenini | 3 | |
| Ushindi | 1 | |
| Sare | 1 | |
| Poteza | 1 | |
| Kadi nyekundu | 0 |
SOMA HII: Romain Folz amefukuzwa Yanga SC mrithi mikoba yake huyu hapa
Matokeo ya mechi za CAF Champions League hatua ya makundi
| JS Kabylie | Yanga SC | |
| 1 | Mechi | 1 |
| 0 | Ushindi | 1 |
| 1 | Magoli yakufunga | 1 |
| 4 | Magoli yakufungwa | 0 |
| 0 | Pointi | 3 |
Msimamo wa kundi B
| Timu | Mechi | Pointi | Shinda |
| 1. Al Ahly | 1 | 3 | 1 |
| 2.Yanga SC | 1 | 3 | 1 |
| 3. AS Far Rabat | 1 | 0 | 0 |
| 4. JS Kabylie | 1 | 0 | 0 |
Matokeo ya mechi 5 zilizopita kwa JS Kabylie
| Mechi | Tarehe ya mchezo | Aina ya mashindano | Matokeo |
| Al Ahly 4-1 JS Kabylie | 22/11/2025 | CAF Champions League | Poteza |
| CS Constantine 1-0 JS Kabylie | 09/11/2025 | Ligue 1 | Poteza |
| JS Kabylie 4-1 Mc El Bayadh | 03/11/2025 | Ligue 1 | Ushindi |
| JS Kabylie 2-1 US Monastir | 25/10/2025 | CAF Champions League | Ushindi |
| JS Saoura 2-2 JS Kabylie | 29/10/2025 | Ligue 1 | Sare |
Mechi 5 ushindi katika mechi 2
Poteza mechi 2
Sare mechi 1
Matokeo ya mechi 5 zilizopita kwa Yanga SC
| Mechi | Tarehe ya mchezo | Aina ya mashindano | Matokeo |
| Yanga SC 3-0 Pamba Jiji | Septemba 24,2025 | NBC Premier | Ushindi |
| Mbeya City 0-0 Yanga SC | Septemba 30,2025 | NBC Premier | Sare |
| Silver Strikers FC 1-0 Yanga | Oktoba 18, 2025 | CAF Champions League | Poteza |
| Yanga SC 2-0 Silver Strikers FC | Oktoba 25, 2025 | CAF Champions League | Ushindi |
| Yanga SC 2-0 Mtibwa Sugar | Oktoba 28 2025 | NBC Premier | Ushindi |
Mechi 5
Ushindi 3
Sare 1
Poteza 1
Kikosi kinachotarajiwa kuanza kwa JS Kabylie vs Yanga SC

Mlinda mlango
Hadid
Mabeki
Benchana
Belaid
F. Nechat
Viungo
Merghem
Babacar Sarri
J. BARA
Boudjemaa
Washambuliaji
Mouali
Messaoudi
L. Akhrib
Kocha Mkuu wa JS Kabylie anaitwa Joe Zinbauer
SOMA HII: Ratiba ya mechi za CAF Champions League 2025/26/ Matokeo na magoli

Kikosi cha Yanga SC kinachotarajiwa kuanza
Mlinda mlango
Djigui Diarra
Mabeki
Zimbwe Jr
Dickson Job
Ibrahim Hamad
Israel Mwenda
Viungo
Pacome Zouzoua
Duke Abuya
Mudathir Yahya
Maxi Nzengeli
Washambuliaji
Prince Dube
Edmund John
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Pedro Goncalves
Hitimisho
JS Kabylie vs Yanga SC CAF Champions League leo Novemba 28,2025. Ijumaa ni moto huku Yanga SC ikipewa nafasi ndogo ya ushindi. Kurasa nyingi zinatabashiri kuwa asilimia 62 JS Kabylie itashinda huku Yanga SC akipewa asilimia 24. Licha ya utabiri huo bado matokeo halisi yatajulikana baada ya mchezo.

