Ikiwa ni msimu wa sikukuu umewadia, kampuni ya michezo ya kubashiri Tanzania, imekuja na kampeni mahususi, ambayo inalenga kuwazawadia wateja wake zawadi mbalimbali ikiwemo fedha.
“KrismasiNaSportPesa” inawapa nafasi wateja wa SportPesa kujishindia zawadi za pesa kila siku, wiki, bila kusahau kutakuwa na washindi kutoka mtaani kila wiki.

Kampeni hii inampa nafasi kila mteja wa SportPesa kuweza kujishindia zawadi hata kama atakosa matokeo ya bashiri zake, mteja akishajirekodi kupitia simu yake janja akielezea KrismasiNaSportpesa ina maana gani kwake msimu huu, ataipost video hiyo kisha anatakiwa kuwatag marafiki zake 10, na kututumia DM number yake ambayo amejisajili kwenye akaunti ya SportPesa. Kwa kila mshiriki ni lazima awe ameweka beti siku 14 zilizopita.
Kampeni hii itadumu kwa muda wa siku 21, na kila siku watapatikana washindi 4 ambao watajishindia TZS 100,000, pia kutakuwa na washindi wa wiki ambao watajishindia vocha ya TZS 500,000 ili kufanya manunuzi kwa ajili ya sikukuu ya Krismasi, na kila Alhamisi kutatolewa washindi 2 kutoka mtaani ambao hawa pia watajishindia vocha ya kufanya manunuzi ya TZS 100,000.
SportPesa inatoa rahi kwa wateja wake wote kushiriki kampeni hii ili waweze kujizawadia zawadi hizi ambazo wataweza kufurahia msimu huu wa sikukuu na familia zao.
Kampeni hii imeanza kuanzia tarehe 4 hadi tarehe 22 mwezi disemba.
Ili kuweka bashiri yako na SportPesa tembelea tovuti yetu ya www.sportpesa.co.tz au piga *150*87#

