Gold-CorrectorGold-Corrector

Well, leo kupitia blog yenu pendwa tumeamua kuwaletea mchezo wa online casino ama kwa Kiswahili ‘’mchezo wa kimtandao wa kasino’’ wa Gold Collector Diamond edition, ambao unapatikana katika tovuti yetu ya sportpesa.co.tz kwenye kitufe cha kasino.

Kama ambavyo jina la mchezo huu linavyojinasibisha, mchezo huu umechukua maudhui ya mtu au watu ambao wanaingia porini kutafuta dhahabu na Almasi. Hakuna asiyejua dhahabu au Almasi ni vipande vya mawe/miamba vyenye thamani ya namna gani.

Kwa kifupi, pamoja kwamba dhahabu au Almasi ni vito vizuri na vyenye thamani, lakini upatikanaji wake sio rahisi  katika migodi au mgodi.

Kitu ambacho tunashukuru ni kwamba wachezaji wetu hamtakuwa machimboni ki uhalisia, lakini wote mnakutana machimboni katika skrini zenu.

Kukufahamisha tu, mchezo huu ni moja ya michezo inayotumia maduara 5 (reels)na mistari 50 ya malipo (50 paylines), huku ikiwa na safu nne katika mfumo wake wa mizunguko na uchezaji.

Katika mchezo huu maduara (reels) yanapatikana katika mlango au lango kuu la kuingilia machimboni, huku reli iliyotandazwa ikipotelea kwa kuelekea ndani ya pango jeusi ama shimo jeusi.

Utakutana pia na vibao vya maandishi vya mbao upande wa kushoto mwa makasha ya duara, ambayo yatakuelezea thamani ya kila duara, katika maduara 5.

Pia katika upande wa kulia utakutana na kitufe cha cheza (on the right you will find the play burton) pamoja na vitufe vyote muhimu vinavyotumika katika mchezo huu wa Gold Collector, Diamond edition.

ALAMA ZA MCHEZO HUU

Kama ambavyo michezo mingine tulivyoielezea katika tovuti yetu, wachezaji wa Kasino Tanzania wategemee kukutana na alama zifuatazo katika mchezo huu.

Koini za dhahabu (Gold Coin) ambazo zina picha ya mlima. Tofauti na alama nyingine ambazo hazina malipo, wachezaji wetu mtegemee kukutana na koini za dhahabu ambazo zinaweza kutokea kwenye duara lolote (can appear on any reel).

Mistari yote ya malipo na pia inayohuisha ushindi ni lazima itokee katika duara kuanzia upande wa kulia kuelekea upande wa kushoto.

ALAMA ZA MALIPO MADOGO

Kitu cha msingi kukizingatia alama zote zenye malipo madogo (low paying features) katika mchezo huu ni pamoja na alama 10, J, Q, K na A. Hizi zote zinatoa malipo yaliyo sawa katika ushindi wa mchezaji, kuanzia 0.20X ya dau uliloweka, ikiwa tu kuna kombinesheni 2 na malipo ya 2X kama kutakuwa na kombinesheni ya mara 5 ya dau uliloweka.

Gold CollectorALAMA ZA MALIPO MAKUBWA

Alama ya kwanza kabisa ambayo utakutana nayo ni alama ya Chepe(shovel) ambayo hii ni maudhui ya uchimbaji, ama kwa mantiki ya mchezo huu ni ukusanyaji wa fedha kama ambavyo ilivyo katika mgodi ukusanyaji wa mchanga.

Aalama ya pili ambayo utakutana nayo ni pamoja na Shoka (a picking Axe). Aalama hii ni mojawapo ya alama zinazowakilisha uchimbaji na uvunjaji wa mawe magumu au miamba.

Alama ya tatu katika alama za malipo makubwa ni Chemli (hand hold burning lantern). Kama ambavyo maudhui yamejiakisi chemli ni kifaa kinachotumiaka kutoa mwanga na kuonyesha njia kwenye giza, ambapo kwa mchezo huu mchezaji anatafuta hela ambayo ni sawa na Dhahabu au Almasi hivyo, pesa inatafutwa kwenye mchezo huu kwa maudhui sawa na ya mgodini.

Alama nyingine ni mkokoteni ama (A wagon full of Gold & Diamond).

Alama zote hizi za malipo makubwa zinalipa kuanzia 0.50-1X kama mchezaji atapata 3 kati ya alama hizi nilizozitaja. Kubwa kuliko katika alama hizi kubwa, mchezaji atapata malipo ya 15X yad au lake pale atakapozipata alama 5 kati ya alama hizi.

ALAMA NYINGINE UKIACHA HIZO ZA MALIPO MADOGO NA MALIPO MAKUBWA

ALAMA YA WILD

Kama ilivyo kwa michezo mkngine yote ya kimtandao alama ya WILD katika mchezo huu wa Gold Collector, toleo la Diamond inatambulisha na alama ya   mbao yenye maandishi ya Dhahabu.

Alama hii inawea kujihuisha na alama nyingine zote kasoro ya SCATTER, Koini ya Dhahabu na Almasi. Alama hii inatokea tu katika duara namba 2,3 na 4.

ALAMA YA SCATTER

Hii ndio alama kuu inayotoa michezo ya bure, kwa maana ya (free Spin). Na ili iweze kukupa michezo, ama mizunguko ya bure itakupasa mchezaji kupata alama moja moja tu, katika maduara hayo matatu, namaanisha, reel 2,3 na 4.

Alama hii ya SCATTER inawakilishwa na picha ya baruti tatu zilizofungwa pamoja. Na yenyewe kama ilivyo alama ya WILD inatokea tu katika duara namba 2,3 na 4.

ALAMA YA MICHEZO YA BURE (FREE SPIN)

Michezo ya bure inapatikana baada ya mchezaji kupata alama tatu za SCATTER. Kama nilivyosema awali alama hii inawakilishwa na picha ya baruti 3 zilizogandana pamoja.

Vile vile katika michezo ya bure ndipo kwenye zawadi kabambe za nyongeza nje ya zawadi za mchezo mama.

Hapa kuna alama za pipa la baruti pamoja picha ya alama ya kilipuzi cha baruti, ambapo zikikutana na picha ya mwamba wa kijivu katika duara zinalipuka na matokeo yake ni zawadi ya pesa au alama ya Almasi itatokea.

Ikiwa alama ya pipa la baruti itaangukia sehemu ambayo mwamba wa kijivu ulishalipuliwa basi italipuka na kutoa alama ya kilipuzi cha TNT, ambacho nacho kitalipuka mara 2 mpaka 5 bila mpangilio maalumu katika miamba ambayo itachagua na kuonyesha zawadi ya pesa au Almasi.

Ikiwa miamba yote katika duara italipuliwa na kulipuka basi zawadi ya Jackpot itatolewa kama ambavyo zawadi ya alama ya Link & Win. Michezo ya bure itaisha pale ambapo kutakuwa hamna tena mizunguko ya kuzungusha.

ALAMA YA KOINI YA DHAHABU (GOLD COIN SYMBOL)

Katika mchezo huu wa Gold Collector, Diamond edition alama ya Gold Coin inaweza kutua ama kushuka mahali au katika duara lolote bila kufungwa na sharti la maduara matatu kama alama zingine zilivyo.

Alama hii ina thamani ya 2X ya dau la mteja. Kuihuisha alama kiunganishi (link symbol) na alama ya ushindi, utahitaji kupata alama 3 za koini ya Dhahabu, alama 3 za Dhahabu au japo kombinesheni ya alama 3 za koini ya dhahabu zikiambatana na alama 3 za Almasi kwa wakati mmoja.

ALAMA YA ALMASI

Hii ndio alama yenye malipo makubwa katika alam zote za mchezo huu wa Gold Collector and Diamond edition. Kama ambavyo alama ya koini ya Dhahabu ilivyo, thamani ya alama hii haizingatiwi sana katika mchezo mama mpaka pale utakapofanikiwa kuhuisha alama ya ‘’Link & Win’’, ndipo malipo yako yatakapo lipwa kwa thamani ya juu.

Gold CollectorKUHUSU ALAMA YA LINK & WIN

Ikiwa utapata alama 3 za koini ya Dhahabu, alama 3 za Dhahabu au kombinesheni ya alama 3 za koini ya dhahabu zikiambatana na alama 3 za Almasi kwa wakati mmoja, basi alama ya Link & Win itatokea mara moja.

Hapa kinachotokea ni kwamba baada ya alama hizi za Dhahabu na Almasi kutokea kwa pamoja zitaganda katika maduara. Kinachofuata ni kwamba lama zingine zote zitapotea na kubakia lama hizi mbili kisha Jackpot 5 zilizo katika maduara zitaanza kuwakilishwa na alama hizi.

Katika hayua hii, mpangilio wa thamani ya malipo utakaotokea ni kwamba, thamani ya Jackpot hizi tano itaanzia kwenye duara la kwanza upande wa kushoto, ambapo Jackpot yenye malipo madogo kabisa ndio itakuwa duara namba moja, kuelekea kulia kwenye Jackpot ya tano ambayo ndio yenye thamani ya malipo makubwa kuliko Jackpot zote.

Kutakuwa na kaunta yenye maandishi yenye namba 3 kwenye kila duara, ambapo itamaanisha mizunguko mitatu. Pale ambapo mchezaji atabonyeza kitufe cha ‘’Play’’ ukiacha maduara yenye alama za Dhahabu na Almasi, maduara mengine yote yatazunguka, hapo utategemea maduara hayo yatakaposimama yanase Dhahabu, Almasi au duara tupu ambalo litamaanisha hamna malipo.

Cha kufurahisa ni kwamba ikiwa alama ya koini itanasa kwenye duara, basi michezo mitatu ya ziada itaongezeka katika kduara husika. Na ikiwa utapata Almasi pekee basi maduara yote matano yatajihuisha na michezo 3 ya nyongeza kwa wakati mmoja.

Kubwa kabisa kuliko zote ni pale utakapofanikiwa kupata alama ya Almasi katika maduara yote matano basi utapata zawadi ya Jackpot ya 5000X yad au lako.

Hivi ndivyo muonekano wa malipo kwa kila duara utaavyokuwa.

1st reel Mini Jackpot = 10X the bet

2nd reel Minor Jackpot = 20X the bet

3d reel Maxi Jackpot = 50X the bet

4th reel Major Jackpot = 100X the bet

5th reel Grand Jackpot = 1000X the bet

 

HITIMISHO

Mchezo huu wa Gold Collector, Diamond edition ni mchezo wa kusisimua wenye maudhui ya machimboni. Kama ambavyo milipuko ya baruti inavyosaidia katika kupasua miamba na kupata dhahabu ndivyo nayo ilivyopangiliwa katika mchezo huu kama visaidizi vya kukupatia pesa mchezaji.

Kwa kuwa Jackpot ya malipo imewekwa katika awamu mbili moja ni Jackpot ya Almasi (DiamOnd Jackpot) ambayo inalipa 5000X ya dau lako katika michezo ya bure na pia malipo ya Jackpot- kupitia Link & Win, ni kithibitisho tosha cha kukufanya uupende mchezo huu.

Pia michezo ya bure ya nyongeza inayopatikana kila Almasi itakapoangukia katika Duara, inaongeza chachu na hamu kwa wachezaji kuupenda zaidi mchezo huu. Najua baadhi yenu mmeshawahi kuona zawadi za Link & Win katika michezo mingine, tofauti katika mchezo huu ni michezo mitatu ya nyongeza inayotokea chini ya kaunta za kila duara.

Ni matumaini yetu kila anayetamani kutembelea ama kwenda machimboni kutafuta Dhahabu au Almasi atapat hamu ya kucheza mchezo huu, akivuta hisia za kweli katika kufanikiwa.

Kucheza mchezo huu tembelea tovuti yetu sportpesa.co.tz chagua kitufe cha Kasino kicha bonyeza kitufe cha ‘’Popular’’ na uangalie jina la Gold Collector, Diamond edition.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share this: