Sportpesa Kasino inakupa nafasi ya kucheza michezo mbali mbali ya kasino mtandaoni. Kupitia tovuti au APP ya SportPesa, utapata michezo ya aina tofauti tofauti kama vile Live Kasino, Slots, Virtuals, Crash, Kwik pesa na Keno. Pia utaweza kushiriki katika promotion tofauti za kasino kama vile Holiday rush na Drops and wins.
Ili uweze kucheza, unapaswa KUJISAJILI kwenye Sportpesa Kasino. Baada ya usajili utaweza kuhamisha pesa kutoka kwenye mkoba wako wa SportPesa kupeleka kwenye akaunti yako ya SportPesa Kasino.
Ni katika nakala hii, tutaelezea jinsi ya kufanya hivyo, hatua kwa hatua.
- Tafadhali ingia kwenye akaunti yako ya Sportpesa kisha bofya alama ya Blue-Hamisha Kasino iliyo upande wa juu-kulia wa ukurasa.

- Hakikisha kuwa mshale umeelekezwa Kasino kutoka Nyumbani.

- Weka kiasi unachotaka kuhamisha kisha bofya ‘Hamisha kwenda Kasino’ kisha funga huo ukurasa.

Kiasi cha kucheza Kasino kinalingana na aina ya mchezo.
Kumbuka: Huwezi kuweka pesa yako moja kwa moja kutokea mkoba wa simu hadi kwenye mkoba wako wa kasino.


