- Yanga SC 0-0 Simba SC matokeo ya mchezo wa kwanza ndani ya Machi 2026
- Ratiba ya Yanga SC 2025/26 ni moto kwa mechi zijazo NBC Premier League
- Singida Black Stars vs Yanga SC ni mchezo unaofuata kwa mabingwa hawa watetezi
Ratiba ya Yanga SC 2025/26 ni bandika bandua kutokana na mechi zilizopo mbele yake. Ndani ya Machi kuna mechi 5 zilizopo mkononi NBC Premier League. Kete ya kwanza Pedro Goncalves anatarajiwa kuicheza Machi 2,2026. Singida Black Stars vs Yanga SC.
SOMA HII: Je Pacome Zouzoua chanzo Yanga SC 0-0 Simba SC? Ali Kamwe atoa ufafanuzi

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.
Ratiba ya Yanga SC 2025/26 Machi ni moto

Kazi inaendelea ratiba ya Yanga SC 2025/26 Machi ni moto kutokana na mechi kali zinazofuata. Machi Mosi 2026 ilikuwa ni Kariakoo Dabi. Yanga SC 0-0 Simba SC ni matokeo rasmi kwenye mchezo huo.
Hapa tunakuletea ratiba ya Yanga SC, matokeo na msimamo namna hii:-
Kamata ratiba ya Yanga SC 2025/26 Machi
| Singida Black Stars | vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 5,2026 |
| Tanzania Prisons | vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 12 2026 |
| Azam FC | vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 15 2026 |
| TRA United | vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 18 2026 |
| Mtibwa Sugar | vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 21 2026 |
Msimamo wa 5 bora NBC Premier League
| MP | W | D | L | PTS | |
| Yanga SC | 11 | 9 | 2 | 0 | 29 |
| JKT Tanzania | 17 | 7 | 7 | 3 | 28 |
| 3. Simba SC | 11 | 7 | 3 | 1 | 24 |
| 4.Pamba Jiji FC | 15 | 6 | 6 | 3 | 24 |
| 5.Azam FC | 11 | 6 | 5 | 0 | 23 |
SOMA HII: Yanga SC 1-0 AS FAR Rabat CAF Champions League/ Prince Dube afunga goli la ushindi New Amaan Complex

Matokeo ya mechi tano zilizopita Yanga SC

| AS FAR Rabat | 1 | 0 | Yanga SC | Februari 7,2026/CAF |
| Yanga SC | 3 | 0 | JS Kabylie | Februari 15,2026/CAF |
| Namungo FC | 0 | 1 | Yanga SC | Februari 22,2026/NBC |
| JKT Tanzania | 0 | 5 | Yanga SC | Februari 25,2026/NBC |
| Yanga SC | 0 | 0 | Simba SC | Machi Mosi 2026/NBC |
SOMA HII: Usajili Yanga SC umeanza Emmanuel Samuel asaini miwili/ Okello mkataba mpya

Hitimisho
Ratiba ya Yanga SC 2025/26 kwa Machi zinafuata mechi 5 za NBC Premier League. Ni baada yakumalizana na Simba SC. Mabingwa hao watetezi watakuwa ugenini kwenye mechi zote 5.

