- Tanzania Premier League, Januari 27 2026 saa 1:00 usiku Uwanja wa KMC Complex
- Yanga SC vs Dodoma Jiji wababe wawili kazini kusaka pointi tatu muhimu
- Mara ya mwisho walipokutana ilikuwa Yanga SC 5-0 Dodoma Jiji, Zanzibar
Yanga SC vs Dodoma Jiji FC Tanzania Premier League ni mchezo unaofuata kwenye ratiba. Januari 27,2026 wababe hawa watakutana Uwanja wa KMC Complex. Saa 1:00 usiku Jumanne dakika 90 za maamuzi kwa mabingwa watetezi kupambana kuishusha JKT Tanzania kileleni na Dodoma Jiji FC kupambana kuvunja rekodi.
SOMA HII: Ratiba ya Yanga SC 2025/26 NBC Premier League, CAF Champions League/ Live scores
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu
Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege.

Yanga SC vs Dodoma Jiji FC Tanzania Premier League nani atashinda?

Wakiwa wanatarajia kupambania pointi tatu Yanga SC vs Dodoma Jiji FC Tanzania Premier League , rekodi zinaonyesha kuwa watoto wa Jangwani wana nafasi kubwa kushinda. Kwenye mechi za hivi karibuni dhidi ya Dodoma Jiji FC walikuwa wakipata ushindi. Katika mechi sita walizokutana Yanga SC ilishinda asilimia 100.
Licha ya Yanga SC kupewa nafasi kubwa kushinda bado Dodoma Jiji FC nit imu imara. Kuwa ndani ya NBC Premier League sio kitu cha kubeza. Ukizingatia hii ni ligi namba 6 kwa ubora Afrika hivyo dakika 90 zitaamua nani atakuwa mshindi.
Yanga SC vs Dodoma Jiji FC Tanzania Premier League H2H
| 22/06/2025 | Yanga SC | 5 | 0 | Dodoma Jiji FC |
| 25/12/2024 | Dodoma Jiji FC | 0 | 4 | Yanga SC |
| 22/05/2024 | Dodoma Jiji FC | 0 | 4 | Yanga SC |
| 05/02/2024 | Yanga SC | 1 | 0 | Dodoma Jiji FC |
| 13/05/2023 | Yanga SC | 4 | 2 | Dodoma Jiji FC |
| 22/11/2022 | Dodoma Jiji FC | 0 | 2 | Yanga SC |
Msimamo wa Yanga SC vs Dodoma Jiji FC
| MP | W | D | L | PTS | |
| 2. Yanga SC | 7 | 6 | 1 | 0 | 19 |
| 11. Dodoma Jiji FC | 10 | 2 | 4 | 4 | 10 |
Kikosi cha Yanga SC kinachotarajiwa kuanza vs Dodoma Jiji FC

Mlinda mlango
Djigui Diarra
Mabeki
Israel Mwenda
Mohamed Hussen
Dickson Job
Ibrahim Bacca
Viungo
Damaro
Duke Abuya
Maxi Nzengeli
Allen Okelo
Pacome
Mshambuliaji
Depu
SOMA HII: Ligi Kuu Bara Juni 22 ni mzunguko wa 30/ Ratiba na matokeo hapa

Kikosi cha Dodoma Jiji FC kinachotarajiwa kuanza vs Yanga SC

Ally Salim
Nelson Munganga
Salmin Hoza
Andy Bikoko
Dickson Mhilu
Andasony Solomon
Mwana Kibuta
Miraj Zambo
Abdi Banda
William Edger
Faraja Kayanda
SOMA HII: Yanga SC vs Dodoma Jiji FC (5-0) |Simba SC yawaka moto kwa matokeo ya Ligi Kuu NBC Bara

Hitimisho
Yanga SC vs Dodoma Jiji FC Tanzania Premier League ni mwendelezo wa kusaka bingwa mpya katika ligi inayodhaminiwa na NBC Premier League. Mchezo wa mwisho wababe hawa kukutana ilikuwa Yanga SC 5-0 Dodoma Jiji FC. Walima zabibu hawajapata ushindi hivi karibu dhidi ya watoto wa Jangwani. Je mchezo ujao watakubali kushindwa ama watavunja rekodi yao? Matokeo yatapatikana baada ya dakika 90.

