AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratibaFei CAF
  • Africa Cup of Nations Misri ya Mo Salah imeandika rekodi, Gabon yaambulia patupu
  • AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratiba, msimamo makundi yote upo hapa
  • Mali vs Tunisia mchecheto mapema, Tanzania vs Morocco Januari 4 2026

AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratiba hii hapa ikiwa tayari kwa wababe kuendelea na kazi 2026. Hii ni baada ya kukamilisha hatua ya makundi na kila timu ikipata kile ilichovuna. Ikumbukwe kwamba timu ya Misri chini ya nahodha Mos Salah ilikuwa ya kwanza kukata tiketi kutinga hatua ya 16 bora.

SOMA HII: AFCON 2025: Matokeo na Ratiba, hizi hapa timu zilizofuzu hatua ya mtoano (16 bora)

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image

AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratiba tunakusogezea ratiba na msimamo

AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratiba
Tanzania AFCO 2025 nchini Morocco. Source: Taifa Stars.

Kuhusu AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratiba hii hapa tumekuletea. Morocco vs Tanzania moja ya mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa. Ipo wazi rekodi imeandikwa kwa Taifa Stars kufika hapo. 2026 mashindano haya makubwa yanatarajiwa kufika tamati.

Nahodha Mbwana Samatta wa Tanzania historia itamkumbuka kwa uongozi wake. Goli la dhahabu kutoka kwa Feisal Salum halitasahaulika kwenye mioyo ya mashabiki. Je hatua ya 16 bora Tanzania itawashangaza wenyeji?

Jumamosi, Januari 3,2026

Senegal vs Sudan saa 1:00 usiku
Mali vs Tunisia saa 4:00 usiku

Jumapili, Januari 4,2026

Morocco vs Tanzania saa 1:00 usiku
Afrika Kusini vs Cameroon saa 4:00 usiku

Jumatatu, Januari 5,2026

Salah Misri
Mo Salah nyota wa timu ya taifa ya Misri.

Misri vs Benin saa 1:00 usiku
Nigeria vs Msumbiji, saa 4:00 usiku

Jumanne, Januari 6, 2026

Algeria vs Dr Congo saa 1:00 usiku
Ivory Coast vs Burkina Faso, saa 4:00 usiku.

SOMA HII: AFCON 2025: Hizi hapa nchi 5 zilizotolewa mapema  

image

Kundi A

 MPWDLPTS
1.Morocco32107
2. Mali30303
3.Comoros30212
4.Zambia30212

Kundi B

 MPWDLPTS
1.Misri32107
2. A.Kusini32016
3.Angola30212
4.Zimbabwe30121

Kundi C

 MPWDLPTS
1. Nigeria33009
2.  Tunisia31114
3.Tanzania30212
4.Uganda30121

Kundi D

 MPWDLPTS
1. Senegal32107
2.Dr.Congo32107
3.Benin31023
4.Botswana30030
Musonda Zambia
Musonda nyota wa timu ya taifa ya Zambia.

Kundi E

 MPWDLPTS
1. Algeria33009
2.B. Faso32016
3.Sudan31023
4.Eq.Guinea30030

Kundi F

 MPWDLPTS
1.I. Coast32103
2. Cameroon32103
3.Mozambique31023
4. Gabon30030
image


Hitimisho

AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratiba ipo tayari kwa ajili ya msako wa bingwa. Kila timu imeonesha ushindani mkubwa katika mechi tatu za makundi. Ni timu ipi itasonga hatua inayofuata? Dakika 90 zitaamua nasi tutaendelea kukupata matokeo.

Share this: