ITALIA VS UINGEREZA -NI MSHIKE MSHIKE KUFUZU EURO 2024
Siku ya Alhamisi ya wiki hii, barani ulaya patakuwa hapatoshi , wakati timu ya taifa ya Italia itakapoikaribisha timu ya taifa ya Uingereza kwenye Uwanja wa Diego Armando Maradona katika mji wa Napoli, majira ya saa 4: 45 usiku. Timu…