Ni TZS 21,191,497 za Jackpot bonus baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwa 2000/= tu.
Mshindi mwingine na Jackpot bonus ya SportPesa amepatikana. Ni TZS 21,191,497 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwa 2000/= tu. Mkazi wa Ngara, Bukoba Expectance S. Gwomeka ameibuka mshindi wa bonus ya Jackpot ya wiki iliyopita…